Posts

Showing posts from July, 2017

VYUO VIKUU VILIVYOFUNGIWA HIVI HAPA

Image
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesema kuwa imefanya uhakiki wa vyuo vyote vya elimu ya juu nchini ili kuhakiki ubora wa elimu inayotolewa vyuoni hapo, ripoti ya uhakiki huo ilionyesha mapungufu kadhaa katika baadhi vyuo.  Hivyo tume imeamua kuchukua uamuzi wa kusitisha udahili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18 kwa vyuo hivyo. Aidha, Tume hiyo imevitaja vyuo hivyo kuwa ni pamoja na:     Eckenforde Tanga University     Jomo Kenyatta University, Arusha     Kenyatta University, Arusha     United African University of Tanzania     International Medical and Technological University (IMTU)     University of Bagamoyo     Francis University College of Health and Allied Sciences     Archibishop James University College     Archibishop Mihayo University College     Cardinal Rugambwa Memorial U...

Tangazo la nafasi za kazi 3,152 kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. MWISHO WA KUAPPLY NI TAREHE 11/08/2017

Image

NEBULAR THEORY ABOUT THE ORIGIN OF THE EARTH

Image
The  nebular hypothesis  is the most widely accepted model in the field of  cosmogony  to explain the  formation and evolution of the Solar System . It suggests that the Solar System formed from nebulous material. The theory was developed by  Immanuel Kant  and published in his "Universal Natural History and Theory of the Heavens", published in 1755. Originally applied to the  Solar System , the process of planetary system formation is now thought to be at work throughout the  Universe .The widely accepted modern variant of the nebular hypothesis is the  solar nebular disk model  (SNDM) or  solar nebular model . It offered explanations for a variety of properties of the Solar System, including the nearly circular and coplanar orbits of the planets, and their motion in the same direction as the Sun's rotation. Some elements of the nebular hypothesis are echoed in modern theories of planetary formation, but...